Tusiime  Schools
nafasi-za-kujiunga-kidato-cha-tano-2020

Shule ya Sekondari Tusiime inawatangazia nafasi za kujiunga kidato cha tano 2019

Fomu za kujiunga zinapatikana

Tusiime High school-DSM Simu:  0784 919 670/0652 227 792
Msimbazi Centre chumba namba 12,25 na 41-DSM Simu:  0788 838 217
Au Pakua Fomu za Kujiunga Hapa

Gharama ya Fomu ya maombi (Application Form) ni Shilingi 20,000/=. Fedha za Fomu zilipwe Benki kupitia akaunti iliyotajwa hapa chini

UTARATIBU WA KUJIUNGA
Hatua 1
Hatua 2
Hatua 3
Hatua 4

Shule itafunguliwa rasmi tarehe 25 Mei, 2020. Hivyo ni vizuri uchukue fomu mapema mara tu baada ya taarifa ya kupata nafasi kutoka kwa kamati ya udahili

TANBIHI: Malipo ya udahili (Admission Fee) au Gharama ya Fomu ya maombi (Application Form) yafanywe kupitia akaunti ifuatayo
BENKI NBC LIMITED
TAWI SAMORA
NAMBA YA AKAUNTI 012103018170
JINA LA AKAUNTI TUSIIME HOLDINGS (T) LIMITED