News

CSEE-2018-1

CSEE 2018 EXAMINATION RESULTS

TUSIIME – MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE (CSEE) 2018 IDADI YA WALIOFANYA MTIHANI: 272 DIV-I = 86 DIV-II = 118 DIV-III = 60 DIV-IV = 8 DIV-0 = 0 EXAMINATION CENTRE REGION –…

Read More Details
PSLE-2018-1

PSLE 2018 Examination Results

Shule ya Tusiime iliyopo Segerea jijini Dar es Salaam, imeendelea kufanya vizuri katika matokeo ya kitaifa ya darasa la saba kwa kuendelea kufaulisha idadi kubwa kwa daraja la juu bila kufelisha mwanafunzi hata mmoja. Na…

Read More Details
ACSEE-2018-1

ACSEE 2018 EXAMINATION RESULTS

TUSIIME – MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA SITA (ACSEE) 2018 Tusiime imafanikiwa kutoa wanafunzi watatu (3) katika wavulana kumi bora kitaifa kwa masomo ya Biashara. 1. Charles Renartus Kanuda 2. Kelvin Lorivii Melamari 3.…

Read More Details
PSLE-2017-1

PSLE 2017 Examination Results

Matokeo ya mtihani ya darasa la saba 2017 kwa shule ya Tusiime. Shule imefanikiwa kutoa wanafunzi wawili top 10 ya taifa kwa upande wa wavulana na wasichana. kwa ufupi matokeo yake ni kama ilivyoainishwa hapo…

Read More Details
ACSEE-2017-1

ACSEE 2017 EXAMINATION RESULTS

IDADI YA WALIOFANYA MTIHANI: 519 DIV-I = 44 DIV-II = 197 DIV-III = 270 DIV-IV = 7 DIV-0 = 1 EXAMINATION CENTRE REGION: DAR ES SALAAM TOTAL PASSED CANDIDATES: 518 EXAMINATION CENTRE GPA: 3.3618 CENTRE…

Read More Details
FTNA-2016-1

FORM TWO NATIONAL ASSESSMENT (FTNA) 2016 RESULTS

Matokeo Ya Form Two Katika matokeo ya kidato cha pili, yaliyotangazwa na Baraza la Taifa la Mitihani (NECTA), shule ya Tusiime ikiwa na jumla ya wanafunzi 286 waliofanya mtihani wa kidato cha pili, wanafunzi 12…

Read More Details
PSLE-2016-1

PSLE 2016 Examination Results – TUSIIME YAONGOZA KIWILAYA DARASA LA SABA

TUSIIME YAONGOZA TENA SHULE ya Msingi Tusiime ya Dar es Salaam, imeendeleza umwamba kielimu kwa kushika nafasi ya tano kitaifa ikiwa na wanafunzi wengi kuliko shule zote zilizoingia kumi bora kitaifa katika matokeo ya mtihani…

Read More Details
CSEE-2015-1

CSEE 2015 EXAMINATION RESULTS – FORM IV

Attached Below is a copy of Tusiime Results as posted on NECTA website. *This copy does not contain any changes made later

Read More Details
FTNA-2015-1

FORM TWO NATIONAL ASSESSMENT (FTNA) 2015 RESULTS

Tusiime watia fora ufaulu kidato cha pili ASILIMIA 99 ya wanafunzi wa shule ya sekondari Tusiime waliofanya mtihani wa kidato cha pili wamefaulu kwa daraja la juu yaani ufaulu uliojipambanua (Distinction). Akizungumzia matokeo hayo ofisini…

Read More Details
SFNA-2015-1

SFNA 2015 ASSESSMENT RESULTS – PRIMARY 4

SHULE ya Msingi Tusiime imeubeba Mkoa wa Dar es Salaam tena na kuwa Mkoa wa kwanza kitaifa katika matokeo ya darasa la nne mwaka huu baada ya shule hiyo kuingia kumi bora kitaifa ikiwa na…

Read More Details